Jumapili, 6 Septemba 2015

kitabu cha watoto wa chekechea




Kitabu cha Watoto
Kitabu hiki ni kwa ajili ya watoto wa nursery schools hasa baby class na pre-unit.
Kinamsaidia mtoto
kusoma alfabeti za kingereza.
Kujua kuziandika
Kujifunza misamiati ya kingereza kwa msaada wa picha
Kujifunza majina ya rangi na namna ya kupaka rangi.
Gharama ya kitabu hiki ni 3000/-
Kinapatikana Dar es Saam na Arusha.
Kwa wanaohitaji vingi bei inakuwa chini na unaweza kutumiwa popote ulipo Tanzania.
Nahitaji mawakala popote Tanzania.
Mawasiliano
mussashaky@yahoo.com
0785 80 75 65
0714 80 75 65

Maoni 2 :

  1. gharama ni kubwa sisi wanaitaji uwauzie Tsh. 2000 mimi niko Bukoba - muleba nilidhani itapungua

    JibuFuta
  2. gharama ni kubwa sisi wanaitaji uwauzie Tsh. 2000 mimi niko Bukoba - muleba nilidhani itapungua

    JibuFuta